Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akivuta
kitambaa pamoja na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa
Makame Mbarawa, Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Halima Dendego kuashiria uwekaji
wa jiwe la msingi katika Ujenzi wa Gati namba mbili litakayojengwa
katika Bandari ya Mtwara.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia
kabla ya kuweka jiwe la msingi katika ujenzi wa Gati namba 2 katika
Bandari ya Mtwara.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitoa
maelekezo kwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari
Tanzania Mhandisi Deusdedit Kakoko kuhusu eneo ambalo Bandari ya Mtwara
walikuwa wakilihitaji kutoka sehemu nyingine.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisikiliza
maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari
Tanzania Mhandisi Deusdedit Kakoko kuhusu eneo ambalo Bandari ya Mtwara
walikuwa wakilihitaji kutoka sehemu nyingine.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiweka saini
katika kitabu cha wageni kabla ya kuweka jiwe la msingi katika ujenzi wa
Gati namba 2 litakalojengwa katika bandari ya Mtwara.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na
Mbunge wa Newala George Huruma Mkuchika mara baada ya kuwasili katika
eneo la Bandari ya Mtwara.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri
wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango Mtkurugenzi Mkuu wa Benki ya NMB
Ineke Bussemaker wakikata utepe kuashiaria ufunguzi rasmi wa Kituo cha
Biashara cha Benki hiyo mkoani Mtwara
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri
wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya NMB
Ineke Bussemaker, Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Halima Dendego wakipiga makofi
mara baada ya kufungua kituo hicho cha Kibiashara cha NMB mkoani Mtwara.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza
Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya NMB Ineke Bussemaker mara baada ya
kukifungua kituo hicho cha kibiashara mkoani Mtwara.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
jambo na Mbunge wa Mtwara mjini kupitia Chama cha Wananchi (CUF) Maftah
Nachuma mara baada ya kufungua kituo hicho cha kibiashara cha Benki ya
NMB mkoani Mtwara.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitoa
maelekezo kwa Mbunge wa Mtama Nape Nnauye kuhusu ujenzi wa Kituo cha
Afya cha Mnolela ambapo pia amechangia kiasi cha Shilingi milioni 15 na
akamuagiza Mbunge huyo kuchangia Shilingi milioni 10 kutoka fedha za
jimbo.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia
katika kijiji cha Madangwa katika jimbo la Mtama mkoani Lindi.
Mjumbe wa
Halmashauri kuu ya CCM na Mbunge mteule wa Bunge la Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mama Salma Kikwete akifatilia hotuba ya Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati aliposimamishwa
njiani na Wanakijiji wa Madangwa katika jimbo la Mtama mkoani Lindi.
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269