Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Augustine
Mahiga (Mb.) akisalimiana na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Mhe.
Antonio Guterres (kushoto) kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius
Nyerere jijini Dar Es Salaam jana. Mhe. Guterres alisimama kwa muda
katika uwanja huo akitokea nchini Kenya kwa ajili ya kufanya mazunguzmo
na Balozi Mahiga.
Katika
mazungumzo hayo pamoja na mambo mengine, Mhe Guterres aliipongeza
Serikali ya Tanzania kwa juhudi zake za kutafuta amani nchini Burundi
kupitia kwa Msuluhishi wa Mgogoro huo Rais wa awamu ya tatu wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania. Mhe. Benjamin Willium Mkapa. Aidha, Dkt. Mahiga
aliwasilisha Salamu Maalum kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli.
Waziri Mahiga akizungumza jambo huku Mhe. Guterres akimsikiliza kwa makini.
Dkt.
Mahiga akiendelea kuzungumza na Mhe. Guterres huku Mratibu Mkazi wa
Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la
umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Bw. Alvaro Rodriguez (wa pili kutoka
kulia) na Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi
Celestine Mushy wakiwasikiliza kwa makini.
Picha ya pamoja
Mkuu
wa Kitengo cha Mawasiliano na Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Afrika Mashariki,Bi. Mindi Kasiga naye akiagana na Mhe.
Guterres
Mhe. Guterres akiagana na Dkt. Mahiga mara baada ya kumaliza kufanya mazungumzo yao.
H.E.
Dr. John Pombe Magufuli, the President of the United Republic of
Tanzania has urged the United Nations to continue its support in
bringing about political stability in Burundi and the Democratic
Republic of Congo.
In
his special message to the United Nations Secretary General Mr. Antonio
Guterres President Magufuli explained that the recent instability in
the two countries has created refugees’ influx in Tanzania and its
neighbors, hence the region is committed to ensure political stability
is restored.
Delivering
President Magufuli’s message to the United Nations Secretary General
Mr. Antonio Guterres, Tanzania’s Foreign Minister Augustine Mahiga said
that as the chair of EAC, Tanzania is hopeful with the progress been
made in the mediation process in Burundi under the leadership of
President Yoweri Museveni of Uganda and facilitated by the former
President of Tanzania, H.E. Benjamin William Mkapa. Hon. Mahiga also
informed the UN Secretary General that the upcoming EAC Summit is
expected to receive a progressive report about the process.
With
regards to the Democratic Republic of Congo, Minister Mahiga revealed
that the Southern African Development Community is intending to include
the agenda of political transition in DRC, whereby SADC member states
are expecting positive deliberations. Tanzania is the current chair of
the SADC organ of political, defense and security with the mandate to
support the achievement and maintenance of peace and security as well as
the rule of law in the SADC region.
Upon
receiving President Magufuli’s message, Mr. Guterres praised Tanzania
for its ability to uphold principles of good governance in the country
as well as maintaining peace and creating a peaceful environment in the
EAC and SADC regions.
Mr.
Guterres commended President Magufuli’s efforts in Burundi peace
process, and his readiness to host refugees from Burundi, emphasizing
the role played by regional communities in Africa in resolving
leadership crisis in African countries.
“The
United Nations appreciates the work done by President Mkapa in Burundi
under the EAC and its leadership. If the region come together the way
EAC has done in the case of Burundi, I am sure together they will be
able to establish lasting solutions” he remarked.
Minister
Mahiga told the reporters that President Magufuli met Mr. Guterres
during the AU Summit in Addis Ababa earlier this year, where the two
leaders exchanged cordial discussions about various issues concerning
the region.
“President
Magufuli instructed me to deliver his message to Mr. Guterres, and has
also extended an invitation to the Secretary General at an appropriate
time to have a working visit in the country” concluded Hon. Mahiga.
Mr.
Guterres was met and held talks with Foreign Minister Mahiga at the
Julius Nyerere International Airport yesterday night where he was on
transit from Somalia and Kenya for a working visit. Also present at the
airport was the United Nations Resident Coordinator, Mr. Alvaro
Rodriguez and officials from the Ministry of Foreign Affairs including
the Director of Multilateral Cooperation Ambassador Celestine Mushy and
Ministry’s Spokesperson Ms. Mindi Kasiga.
Issued by:
Government Communication Unit,
Ministry of Foreign Affairs and East African Cooperation,
Dar es salaam, Tanzania
March 9, 2017.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269