Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Juma Abdalla Juma (Mabodi) wakiimba wimbo wa Chama mara walipoingia katika Ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja katika kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar kilichofanyika leo
Baadhi ya wajumbe kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar wakiimba wimbo wa Chama kumkaribisha Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti
wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika kikao cha
Siku moja kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Juma Abdalla Juma
(Mabodi) alipokuwa akimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed
Shein (kushoto) kuzungumza na Wajumbe wa kikao cha Kamati Maalum ya
Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar kilichofanyika leo katika Ukumbi wa
Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja
Baadhi ya Wajumbe wa kikao cha Kamati Maalum ya
Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar wakifuatilia kwa makini taarifa
zilizotolewa katika kikao hicho kilichofanyika leo katika Ukumbi wa
Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed
Shein(kushoto) alipokuwa akizungumza na Wajumbe wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar katika kikao cha siku moja kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja. Picha na Ikulu, Zanzibar
Your Ad Spot
Sep 18, 2017
Home
Unlabelled
KAMATI MAALUM YA HALMASHAURI KUU YA CCM ZANZIBAR LEO
KAMATI MAALUM YA HALMASHAURI KUU YA CCM ZANZIBAR LEO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269