Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua mkutano wa Wadau wa Zao la
Korosho kwenye ukumbi wa hoteli ya Tanga Beach Reasort jijini Tanga
Septemba 17, 2017.
Kassim Majaliwa akisalimiana na wabunge wa mkoa wa Tanga baada ya
kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Tanga ambako alifungua Mkutano wa
Wadau wa Zao la Korosho kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Tanga Beach Resort
September 17, 2017.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Njombe,
Christopher Ole Sendeka baada ya kufungua Mkutano wa Wadau wa Zao la
Korosho kwenye ukumbi wa Hoteli ya Tanga Beach Resort jijini
TangaSeptemba 17, 2017
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Mawaziri ,
Wabunge, Wakuu wa Mikoa na Viongozi wa Bodi ya Korosho Tanzania baada
ya kufungua mkutano wa Wadau wa Zao la Korosho kwenye Hoteli ya Tanga
Beach Resort jijini Tanga September 17, 2017. (Picha na ofisi ya Waziri
Mkuu)
Your Ad Spot
Sep 18, 2017
Home
Unlabelled
MAJALIWA AFUNGUA MKUTANO WA WADAU WA ZAO LA KOROSHO JIJINI TANGA
MAJALIWA AFUNGUA MKUTANO WA WADAU WA ZAO LA KOROSHO JIJINI TANGA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269