Breaking News

Your Ad Spot

Sep 10, 2017

MPAKA MAFUTA WA KANISA LA SILOAM TANZANIA, AMFANYIA MAOMBI YA BARAKA KUHANI WA KANISA HILO NCHINI KENYA KUFUATIA KUWA MBUNGE NCHINI HUMO

Kiongozi Mkuu wa Kanisa la Siloamu, Mpaka Mafuta akimfanyia maombi rasmi ya kumbariki  Kuhani wa kanisa hilo nchini Kenya Agatha Mtindi, kwenye Ibada ya Mungu Baba, iliyofanyika leo katika Kanisa hilo, Mbezi Makonde jijini Dar es Salaam.  Agatha alifanyiwa maombi hayo maalum ya kumbariki kufuatia kuteuliwa kwake kuwa Mbunge kwenye Akaunti ya Machakosi nchini Kenya katika Uchaguzi Mkuu uliofanyika hivi karibuni.
Zifuatazo ni picha za tukio hilo, tangu mwanzo hadi mwisho wa ibada. Picha zote na Bashir Nkoromo

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages