Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akimuapisha Khamis Ramadhan Abdala kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya
Zanzibar katika hafla iliyofanyika leo
katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk .Ali Mohamed Shein akimuapisha Aziza Iddi Suwedi kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Zanzibar katika hafla iliyofanyika leo katika ukumbi
wa Ikulu Mjini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akimuapisha Kubingwa Mashaka Simba kuwa Katibu
wa Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma katika hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu
Mjini Zanzibar. kabla alikuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Katiba, Sheria, Utumishi
wa Umma na Utawala Bora
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed
Shein akimuapisha George Joseph
Kazi kuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya
RaisKatiba, Sheria, Utumishi wa Umma na Utawala Bora katika hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu
Mjini Zanzibar, kabla alikuwa Mrajis wa Mahkama Kuu ya Zanzibar
Baadhi ya
Majaji wa Mahkama Kuu ya Zanzibar ni miongoni mwa Viongozi mbali mbali
waliohudhuria katika hafla ya kiapo cha Majaji wa Mahkama Kuu ya
Zanzibar walioapishwa leo na Viongozi wengine kazi iliyofanya na Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein
akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi na Majaji wa Mahakama Kuu ya Zanzibar, Naibu
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Katiba, Sheria, Utumishi wa Umma na Utawala Bora na Katibu
wa Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma baada ya kuwaapisha rasmi leo katika hafla
iliyofanyika ukumbi wa Ikulu Mjini
Zanzibar
Your Ad Spot
Oct 2, 2017
Home
Unlabelled
DK. SHEIN AWAAPISHA MAJAJI WA MAHAKAMA KUU YA ZANZIBAR NA VIONGOZI WENGINE
DK. SHEIN AWAAPISHA MAJAJI WA MAHAKAMA KUU YA ZANZIBAR NA VIONGOZI WENGINE
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269