Msimamizi wa Uchaguzi huo Ramadhani Shabani akizungumza kabla ya uchaguzi kuanza
Wajumbe wakinyoosha mikono kuunga mkono moja ya maamuzi wakati wa mkutano huo wa uchaguzi
Wajumbe wakifuatilia hatua kwa hatua maamuzi wakati wa mkutano huo wa uchaguzi
Katibu Mwenezi wa CCM Wilaya ya Kinondoni Ndugu Tungaraza akizungumza baada ya kuchaguliwa kuwa mwenyekiti wa Uchaguzi kwenye Mkutano huo
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi, Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Alhaj Abdallah Bulembo akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Ally Salum Hapi baada ya kuwasili kwenye mkutano huo
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi, Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Alhaj Abdallah Bulembo akizungumza baada ya kupewa nafasi kwenye mkutano huo
Wagombea wa nafasi ya mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Ki8nondoni wakiwa tayari kuomba kura. Wagombea hao kutoka kushoto ni John Mome Morro, Harold John Maruma, Khalid Huma Sindano, na Emmanuel Josph Mbasha.
Wagombea wa nafasi ya Mkutano Mkuu wa CCM wakiwa tayari kuomba kura
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269