Breaking News

Your Ad Spot

Oct 9, 2017

WAFANYAKAZI BENKI YA TIB WANG'ARA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA

 Benki ya TIB leo imeanza kuadhimisha Wiki ya Huduma kwa mteja kwa kufanya mambo mbalimbali ikiwemo viburudisho, Pichani baadhi ya wafanyakazi wa Benki hiyo wakionyesha sura za bashasha wakaati wakisubiri kuhudumia wateja leo katika Benki hiyo, jijini Dar es Salaam, Zingine ni picha mbalimbali za wafanyakazi hao katika ubora wao













No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages