Balozi
wa Kuwait nchini Tanzania Mhe. Jasem Al-Najem akimkabidhi vitabu Mkuu
wa Chuo Kikuu Cha Dodoma UDOM, Profesa Frowin Nyoni (kulia) na kukutana
na baadhi ya viongozi na wahadhiri wa Chuo hicho. kushoto ni Mkuu wa Chuo Cha Sayansi ya Kijamii na Masomo ya Kibinadamu Profesa, Albino Tenge.
Balozi
wa Kuwait nchini Tanzania Mhe. Jasem Al-Najem katika picha y pamoja
akisalimiana na Mkuu wa Chuo Kikuu Cha Dodoma UDOM, Profesa Frowin
Nyoni (wa nne kushoto)
Balozi
wa Kuwait nchini Tanzania Mhe. Jasem Al-Najem akimkabidhi kitabu Mkuu wa Chuo Cha Sayansi ya Kijamii na Masomo ya Kibinadamu Profesa, Albino Tenge kushoto na kulia ni Mkuu wa Chuo Kikuu Cha Dodoma UDOM, Profesa Frowin Nyoni
Balozi
wa Kuwait nchini Tanzania Mhe. Jasem Al-Najem akielekeza jambo mara baada ya kukabidhi vitabu kwa uongozi wa Chuo hicho
Balozi
wa Kuwait nchini Tanzania Mhe. Jasem Al-Najem akisaini kitabu cha wageni mara alipowasili katika Chuo Kikuu
cha UDOM
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269