Breaking News

Your Ad Spot

Apr 3, 2018

MWANAMUZIKI DIAMOND PLATINUM ATETA NA RAIS DK. JOHN MAGULI JIJINI DAR ES SALAAM

 Rais Dk. John Magufuli akimsikiliza mwanamuziki wa Bongo flavor Naseeb Abdul, maarufu kwa jina la Diamond Platinum, mwanamuziki huyo alipokuwa akimnong'ongeza jambo alipoonana naye katika hafla ya Rais kuweka jiwe la msingi Mfumo wa Usimikaji wa Rada katika viwanja vinne vya ndege vya Julius Nyerere-Dar es Salaam, Mwanza, KIA-Kilimanjaro na Songwe katika hafla iliyofanyika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
Rais Dk. John Magufuli akifurahia jambo na mwanamuziki wa Bongo flavor Naseeb Abdul, maarufu kwa jina la Diamond Platinum, alipoonana naye baada ya kuweka jiwe la msingi Mfumo wa Usimikaji wa Rada katika viwanja vinne vya ndege vya Julius Nyerere-Dar es Salaam, Mwanza, KIA-Kilimanjaro na Songwe katika hafla iliyofanyika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages