Naibu
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson
(katikati) leo ameongozana na Kamati ya Amani Kitaifa Zanzibar
ikiongozwa na Sheikh, Salim Alkadiriy (wakwanza kulia) kuwatembelea
Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano kutoka Zanzibar waliolazwa
katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) baada ya kupata ajali
ya gari maeneo ya Bwawani, Mkoani Morogoro, Wabunge waliobaki hospiyali
ya wakiendelea na matibabu ni Haji AmriHaji (52) na Juma Othaman Hija
(61) baaya wabunge wanne mupatiwa tiba na kuruhusiwa, kushoto ni Kaimu
Mkurugenzi wa Tiba (MOI), Dkt, Nicephorus Rutabasibwa. (PICHA ZOTE NA
KHAMISI MUSSA)
Your Ad Spot
Apr 2, 2018
Home
Unlabelled
NAIBU SPIKA WA BUNGE LA TANZANIA DKT. TULIA ACKSON AONGOZANA NA KAMATI YA AMANI KITAIFA ZANZIBAR KUWATEMBELEA WABUNGE WALOPATA AJALI
NAIBU SPIKA WA BUNGE LA TANZANIA DKT. TULIA ACKSON AONGOZANA NA KAMATI YA AMANI KITAIFA ZANZIBAR KUWATEMBELEA WABUNGE WALOPATA AJALI
Share This
About khamisimussa77@gmail.com
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269