Breaking News

Your Ad Spot

Aug 1, 2024

RAAIS DK. SAMIA AMUAPISHA KAMISHNA JENERALI KATUNGU KUWA MKUU WA JESHI LA MAGEREZA WA MAGEREZA, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimvalisha Kamishna wa Magereza CP. Jeremiah Yoram Katungu cheo Kipya cha Kamishna Jenerali wa Magereza (CGP)kabla ya kumuapisha kuwa Mkuu wa Jeshi hilo kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 31 Julai, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi MkuuMhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Kamishna Jenerali wa Magereza(CGP)Jeremiah Yoram Katungu kuwa Mkuu wa Jeshi hilo kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 31 Julai, 2024.

 

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages