Breaking News

Your Ad Spot

Dec 14, 2009

jk na wageni

RAIS Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Uongozi wa Mafia Development Foundation na Islamic Help (NGO) kutoka Uingereza, ujumbe huo uliongozwa na Mbunge wa Mafia Abdulkarim Shah, mazungumzo hayo yalifanyika Ikulum Dar es Salaam leo.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages