Breaking News

Your Ad Spot

Dec 14, 2009

WACHEZA KUNG FU WAENDA CHINA

WALIMU wanne wa mchezo Kung fu aina ya Wushu, jana waliondoka nchini kwenda China kwa apata mafunzo zaidi ya mchezo huo ya miezi miwili. Pichani, walimu hao wakiwa kwenye Uwanja wa Ndege wa KImataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam, muda mfupi kabla ya kuondoka. Kutoka kushoto ni Ayubu Mtimba, Abdallah Mhina, Maneno Mnyau na Mkuu wa msafara huo Mharami Mtekela. (Picha na Bashir Nkoromo).

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages