Breaking News

Your Ad Spot

Dec 14, 2009

Kilimanjaro Stars yarejea Dar vichwa chini

KOCHA wa timu ya Kilimanjaro Stars, Marcio Maximo akizungumzana waandishi wa habari, jana, kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere,Dar es Salaam, baada ya kuwasili na na timu hiyo, ikitokea Kenya kwenye michuano ya Soka ya Kombe la Chalenji ambako imeambulia nafasi ya nne. (Picha na Bashir Nkoromo).

"Yote kheri", ndivyo alivyokuwa akielekea kusema Kocha Mkuu wa timu ya Kilimanjaro Stars, Marcio Maximo baada ya kauwasili na timu hiyo jana, Uwanja wa Ndege wa KImataifa wa Julius Nyerere mjini Dar es Salaam, alikea Kenya na timu hiyo, kwenye michuano ya Chalenji. (Picha na Bashir Nkoromo).

MCHEZAJI wa timu ya Kilimanjaro Stars, Mussa Hassani 'Mgosi', akiwa na familia yake, iliyompokea kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere,Dar es Salaam, alipowasili na timu hiyo jana, kutoka nchini Kenya kwenye michuano ya Soka ya Kombe la Chalenji ambako Stars iliambulia nafasi ya nne. Kushoto ni mkewe, Jasmini na wengine ni watoto wake Naila na Hassan (aliyembeba). (Picha na Bashir Nkoromo).

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages