WACHEZAJI wa Azam U20, wakifurahia kombe baada ya kulitwaa katika fainali iliyofanyika kwenye Uwanja wa Uhurui, leo.
NAHODHA wa timu ya Azam ya vijana chini ya miaka 20 (U20),Jukumu Kibanda akiwa na kombe ambalo timu hiyo ililitwaa, baada ya kuibuka mshindi wa kwanza wa michuano ya Azam U20, kwa kuinyuka timu ya vijana kama hao ya simba mabao 3-1, katika fainali ilifanyika kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam, leo
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269