Breaking News

Your Ad Spot

Dec 28, 2009

YANGA ILIPOINYUKA SOFAPAKA NA KUTWAA UBINGWA TUSKER CUP



Watu kibao wakishuhudia mtanange huo, Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam

Kikosi kamili cha Sofapaka ya Kenya kilichopambana na Yanga


Kikosi cha Yanga kilichoinyuka Sofapaka


Athumani Iddi wa Yanga akipambana na  James Situma wa Sofapaka


Nurdin Bakari akimkabili Kamadi Michael wa Sofapaka


Kocha wa Yanga Papich akimfunda Abdi Kassim wakati wa mpambano huo

 Nahodha wa Yanga Abdi Kassim akifurahia Kombe

Wachezaji wa Yanga wakishangilia baada ya kupata bao la pili na la ushindi

Mwenyekiti wa Yanga Imani Madega (katikati) akifurahia kombe

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages