SPIKA wa Bunge Samwel Sitta akikaribishwa na Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, William Lukuvi kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam, katika maadhimishohayo.
AMIRIJESHI Mkuu wa Majeshi ya Uli8nzi na Usalama, Rais jakaya Kikwete akiingia kwa gari la wazi katika Uwanja wa Uhuru kuongoza sherehe hizo. pamoja naye ni Mkuu wa Majeshi , Jenerali Davius Mwamunyange.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269