Breaking News

Your Ad Spot

Dec 9, 2009

MAHAFALI YA SABA YA CHUO CHA TAIFA CHA UTALI

KATIBU Mkuu wa Wizara ta Maliasili na Utaliiu, Dk. Ladislaus Komba akitoa hotuba katika mahafalai ya saba ya Chuo Cha Taifa Cha Utalii, yaliyofanyika jana chuoni hapo, Tandika, Dar es Salaam.

WANAMUZIKI wa bendi ya muziki wa ala za mapipa ya JKT, wakitumbuiza wakati wamahafali hayo


WAHITIMU wakiwa katika mahafali ya saba ya Chuo cha Taifa cha Utalii, yaliyofanyika katika chuo hicho, Tandika, Dar es Salaam, jana. 

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages