BAADHI ya washiriki wakiwa kwenye ufungwaji wa mkutano wa Kimataifa wa siku tatu wa Nchi 10 wanachama wa Bonde la Mto Nile, uliomalizika jana, katika ukumbi wa kituo cha Mikutano wa Mlimani City, Dar es Salaam.
BAADHI ya washiriki wakiwa kwenye ufungwaji wa mkutano wa Kimataifa wa siku tatu wa Nchi 10 wanachama wa Bonde la Mto Nile, uliomalizika jana, katika ukumbi wa kituo cha Mikutano wa Mlimani City, Dar es Salaam. Kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji, Christopher Sayi.
WAZIRI wa Maji na Umwagiliaji Profesa Mark Mwandosya (kulia) ambaye alikuwa Waziri Mwenyeji katika mkutano huo, akiwa na Mkurugenzi wa Elimu ya Mazingira wa Chuo Kikuu cha Binghamton, Profesa Ali Mazrui
WAZIRI wa Maji na Umwagiliaji Profesa Mark Mwandosya (kushoto) ambaye alikuwa Waziri Mwenyeji katika mkutano huo, akiwa na Mwenyekiti wa Mkutano huo, Waziri wa Maji na Umwagiliaji wa Misri Mohame Nasr El-Din Allam
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269