CHUO Kikuu Huria Cha Tanzania (OUT)kimepata kituo cha elimu ya sayansi na Hisabati kwa masafa mbali ambapo wanafunzi hufundishwakwa njia ya mtandao. Pichani, Mkurugenzi wa Elimu ya Juu, Profesa, Eilbard Abeid akizindua rasmi kituo hicho, jana, makao makuu ya OUT,Dar es Salaam. Wapili Kulia ni Makamu Mkuu wa OUT, Profesa Tolly Mbwete na kushoto ni Mratibu wa wa miradi ya Chuo Kikuu cha African Virtual (AVU) kinachosimami kituo hicho, Catherine Wangeci na Mkuu wa AVU, Dk. Bakari Diallo.
Your Ad Spot
Dec 10, 2009
OUT Launches Open and Distance Learning (ODeL Facility in Dar
Tags
OUT ON MOVE#
Share This
About CCM Blog
OUT ON MOVE
Tags
OUT ON MOVE
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269