Breaking News

Your Ad Spot

Dec 10, 2009

NMB YASAIDIA SHULE MADAWATI

KAIMU Meneja wa Benki ya NMB tawi la Ilala, Jane Kobole akipeana mikono na wanafunzi wa shule ya msingi Kombo iliyopo Vingunguti, Dar es Salaam, katika hafla ya kukabidhi msaada wa madawati 25 yenye thamani ya sh. milion 2.5 uliotolewa na NMB kwa shule hiyo, leo.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages