Breaking News

Your Ad Spot

Dec 11, 2009

JK na Gavana Kwan-Yong Kim wa Jimbo la Gyeongsangbuk-do, Korea

RAIS Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Gavana Kwan-Yong Kim kutoka Jimbo la Gyeongsangbuk-do,Jamhuri ya Korea wakati gavana huyo alipomtembelea rais Kikwete huko Ikulu jijini Dar tarehe 11.12.09, aliyesimama katikati ni Balozi Deho Young-Shima kutoka Korea




 

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages