Breaking News

Your Ad Spot

Dec 26, 2009

SIMBA YAFANIKIWA KUWA YA TATU BAADA YA KUINYUKA TUSKER, TUSKER CUP


MSHAMBULIAJI wa Simba, Juma Jabu akimtoka mlinzi wa Tusker ya Kenya,Francis Oduor, timu hizo zilipopambana jana kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam, kuwania nafasi ya tatu ya kombe la Tusker. Simba iliibuka na ushindi wa mabao 2-1. (Na Mpigapicha Wetu).


KIKOSI cha Simba kilichokong'otana na Tusker team
KIKOSI cha Tuseker kilichobanjuliwa na Simba mabao 2-1


Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages