Breaking News

Your Ad Spot

Dec 24, 2009

YANGA YAINYUKA SIMBA 2-1, TUSKER CUP


MCHEZAJI Shadrack Nsajigwa wa Yanga akichuana na Juma Jabu wa Simba, timu hizo zilipomenyana jana kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam, katika mechi ya kuingia fainali ya kombe la Tusker. Yanga iliinyuka Simba mabao 2-1. (Na Mpigapicha Wetu).



JERRY Tegete (kulia) wa Yanga akifurahi baada ya mechi kwisha ikiwa imeilamba Simba mabao 2-1. Tegete nduye aliyefunga mabao hayo.

MCHEZAJI Shamte Ally (kulia) wa Yanga akichuana na Joseph Owino wa Simba, timu hizo zilipomenyana jana kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam, katika mechi ya kuingia fainali ya kombe la Tusker. Yanga iliinyuka Simba mabao 2-1. (Na Mpigapicha Wetu).

Kocha wa Yanga akishangilia baada ya mechi

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages