Breaking News

Your Ad Spot

Dec 24, 2009

makala leo

KATIBU wa Uchumi na Fedha wa CCM,Amos Makalla, akizungumza na Waandishi wa Habari, jana, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, mtaa wa Lumumba, Dar es Salaam, kuhusu usahihi wa taarifa za ushuru uliolipwa kwa magari yaliyonunuliwa na CCM. Kushoto ni Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Propaganda, Makao makuu ya CCM, Tambwe Hiza.(Na Mpigapicha Wetu).

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages