Breaking News

Your Ad Spot

Dec 23, 2009

WAKENYA WANYUKANA DAR KOMBE LA TUSKER

BEKI wa timu ya Tusker Morris Odipo (kushoto) akijaribu kumdhibiti mshambuliaji wa timu ya Sofapaka Humphrey Ochieng, timu hizo zilipomenyana jana katika mchezo wa nusu fainali ya Kombe la Tusker, kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. Tusker ilinyukwa mabao 4-0. (Picha na Bashir Nkoromo).

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages