Breaking News

Your Ad Spot

Dec 23, 2009

V. STATION GIRLS SEC WATEMBELEA OFISI ZA UHURU DAR

KUTOKA Kushoto ni wanafunzi wa shule hiyo,  Maxine Hermes, Jesca Mrema, Doris Respick na Sabrina Mulji wakimsikiliza Mhariri wa habari wa UPL , Ramadhani Mkoma (hayupo pichani) wakati akiwapa maelezo kuhusu ukusanyaji habari kabla ya kutoka gazetiniWanafunzi hao wakimsikiliza Mhariri wa gazeti laBurudani,Rashid Zahor akiwaeleza mambo mbalimbali ya utayarishaji8 wa habari za gazeti hilo. Kulia ni Mlezi wa watoto hao, Mwenyekiti wa Jumuiz ya Wazazi Katra ya Hananasif, Dar es Salaam, Maria Hermes kiongozi wa msafara huo.

Wanafunzi na mkuu wao wamsafara wakimsikiliza Msanifu Mkuu wa UPL, Esther Mvungi (kulia) akiwapamaelezo kuhusu kitengo chake.

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages