MSHAMBULIAJI wa timu ya JKT Ruvu, Amosi Mgisa (kushoto) akipambana na beki wa Majimaji S.C ya Songea, Mohamed Ngole, timu hizo zilipomenyana jana kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam katika mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom. Timu hizo zilitoka sare ya bao 1-1. Picha na Mdau wa Chachandu- Daily
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269