Breaking News

Your Ad Spot

Jan 28, 2010

MCHAPO

JAMAA alikwenda kununua sigara dukani, baada ya kupatiwa sigara jamaa akatoa kibiriti ili kuiwasha aanze kuivuta pale pale dukani.
Muuzaji: Tafadhali usivutie hapa sigara.
Jamaa: Kwanini, mbona umeniuzia wewe hapa hapa?
Muuzaji: Sawa, je? kama ningekuuzia katarasi ya chooni ungeitumia hapa hapa pia?

mdau wa Chachandu-Daily. Email: mgosius5@yahoo.com

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages