Breaking News

Your Ad Spot

Jan 26, 2010

LIGU KUU YA VODA; TOTO AFRICA YADUNDWA NA AZAM FC 1-0

MCHEZAJI Shabani Kisiga wa timu ya Azam FC (kushoto), akipambana Philemon Mwandasile wa timu ya Toto Africa, timu hizo zilipomenjana jana kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam, mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom. Azamu ilishinda kwa bao 1-0.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages