Breaking News

Your Ad Spot

Jan 26, 2010

ZIARA YA DK. SHENI KENYA

Makamu wa Rais, Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Rais wa Kenya,. Mwai Kibaki, wakati alipomtembelea Ofisini kwake Harambe House mjini Nairobi Nchini Kenya jana jioni. Makamu wa Rais yupo nchini Kenya kwa ziara ya siku tatu ya kiserikali

Mke wa Makamu wa Rais Mama Mwanamwema shein  akizungumza na Mke wa Makamu wa Rais wa Kenya Mama Paulina Kalonzo, walipokutana kwenye chakula cha jioni katika Hoteli ya Intercontinantal mjini Nairobi jana usiku, ambapo Makamu wa Rais Dk. Ali Mohamed Shein yupo Nchini Kenya kwa ziara ya siku tatu.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages