Breaking News

Your Ad Spot

Jan 26, 2010

SWETU FUNDIKIRA AZIKWA KISUTU LEO

Waombolezaji wakizima mwili wa marehemu Swetu,katika makaburi ya Kisutu, jijini Dar es Salaam leo. Swetu alifariki baada ya kupigwa na watu wanaodaiwa ni askari wa JWTZ, ambapotu watu wawili walifikishwa mahakamni leo kwa tuhuma hizo.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages