Breaking News

Your Ad Spot

Jan 30, 2010

MAHAFALI YA PILI CHUO CHA KODI

WALIMU wakijianadaa kwenda kwenye Uwanja wa sherehe za mahafali ya pili ya Chuo cha Kodi yaliyofanyika chuoni hapo leo.Walimu wa |Chuo cha Kodi wakiwa tayari kwa maandamano ya Kitaaluma, wakati wa mahafali ya pili ya chuo hicho leo.Baadhi ya wahitimu wakiwa katika mahafali ya pili ya Chuo cha Kodi, yaliyofanyika leo, Mikocheni, Dar es Salaam.MMOJA wa wahitimu katika Chuo cha Kodi,  Joseph Nayingo akikabidhiwa zawadi za cheti na sh. milioni moja,  baada ya kuwa mshindi wa kwanza wa tuzo ya Ernest &Young katika mtihani wake wa Stashahada ya Uzamili  katika Kodi. Tuzo hizo alikabidhiwa na mgeni rasmi Dk. Philip Mpango ambaye alimwakilishs Waziri wa Fedha na Uchumi, katika mahafali ya pili Chuo cha Kodi yaliyofanyika leo Mikocheni, Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages