Breaking News

Your Ad Spot

Jan 31, 2010

ZIARA YA WAZIRI MKUU MWANZA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Waziri wa Huduma za Afya wa Kenya (Minister for Medical Services, Kenya), Profesa P. A. Nyang’o baada ya kufungua Warsha ya Chama cha Mashirika ya Mifuko ya Hifadhi ya Jamii katika nchi za Afrika ya Mashariki na Kati yaani East and Central Africa Social Security Association Policy Makers Workshop (ECASA) kwenye ukumbi wa NSSF jijini Mwanza Januari 29, 2010. Kushoto ni Waziri wa Kazi Ajira na Maendeleo ya Vijana, Profesa Juma Athumani Kapuya, watatu kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Celina Kombani na wapili kula ni Waziri wa Kazi wa Kenya, John Munyes.
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Kazi, Ajira na Maendeleo ya Vijana, Profesa Juma Athumani Kapuya baada ya kufungua Warsha ya Chama cha Mashirka ya Mifuko ya Hifadhi ya Jamii katika nchi za Afrika ya Mashariki na Kati yaani East and Central Africa Social Security Assoceation Policy Makers Workshop (ECASSA) kwenye ukumbi wa NSSF jijini Mwanza Januari 29, 2010. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

2 comments:

  1. Free Galleries With Nude Celebrities. [url=http://harbourarticles.info/choosing-a-nude-model-for-your-forthcoming-shoot.html]harbourarticles.info[/url]

    ReplyDelete
  2. Celebrity Movies Free ] Click To For Celebrity Sex Videos [ Drunk Party Girls]. [url=http://andarticles.com/picking-up-a-nude-model-for-your-upcoming-shoot.html]andarticles.com/picking-up-a-nude-model-for-your-upcoming-shoot[/url]

    ReplyDelete

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages