Breaking News

Your Ad Spot

Jan 9, 2010

MAMBO YA MBEYA

VETERANI  wa Polisi Kamanda  mstaafu wa Jeshi lhilo, Buka Kibona (kushoto), akimkabidhi Kamanda wa Polisi mkoa wa Mbeya, Advocate Nyombi, mwongozo wa kumsaidia katika utendaji wake wa kazi za kila siku ilikuwa katika mnuso uliofanyika juzijuzi
.MAJI yakiwa yametuama katika moja ya barabara za soko la SIDO lililopo Mwanjelwa, kutokana na barabara hiyo kutokuwa na mifereji ya kupitisha maji hali ambayo imekuwa kero kwa wafanyabishara sokoni humo leo.


MFANYABIASHARA huyu akijitengenezea daraja kwa ajili ya kupita wateja wake mara baada ya kujichimbia mtaro katika soko la SIDO-Mwanjelwa lililopo mjini Mbeya  leo. (Picha zote na Solomon Mwansele).

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages