MIMI nduye Dj Anu, maanaeke Anuary Sanga, DJ ambaye hupagawisha wadau wa Radio Uhuru katika kipindi motomoto cha 'Ambiance Shiktuka' wadai fuatilieni blog hii kwa mambo motomoto ya maana. NAWAPENA SANA!