Breaking News

Your Ad Spot

Jan 27, 2010

MAUNDA ZORRO a.k.a 'MAMA KIJACHO'

 MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Maunda Zorro mtoto wa mwanamuziki mkongwe hapa nchini  Zahir Ali 'Zorro' ameelezewa kuwa ana ujauzito. mwana dada huyu (Pichani) ambaye alitamba sana na kibao  'NIWEWAKO' chenye mahadhi ya Zouk, amekuwa kimya kwa mda mrefu inadaiwa anatarajia kujifunguwa mwishoni mwa mwezi wa tatu mwaka huu. Kwa mujibu wa  blog ya www.mohammeddewji.co/blog Maunda hakupenda kumtaja muhusika wa ujauzito huo.

Blog hii ya Chachandu Daily, inamtakia kila kheri dada huyi, Inshaallah,  mwenyezi mungu amjalie ampe afya nzuri aweze kujifungua salama mtoto mwenye afya njema

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages