Breaking News

Your Ad Spot

Jan 28, 2010

MENEJA masoko wa Kampuni ya simu za mkononi ya Zainng Kelvin Twisa, akizuingumzana waandishi wa Habari jana kwenye Hoteli ya Kilimanjarto Kempiski Dar es salaam wakati kampuni hiyoilipotangaza promosheni ya 'NIME NIKUPE'.

story
Wateja wa Zain Tanzania nchi nzima sasa watarudishiwa papo kwa papo pesa yoyote watakayotumia kuzungumza kwenye simu zao zao mkononi kupitia ofa kabambe ya Nipe Nikupe.

Zain, kampuni inayoheshimika zaidi nchini Tanzania imethibitisha leo kwamba mteja wa Zain atarudishiwa shilingi 200 papo kwa papo kwa kila shilingi 200 atakayotumia kuzungumza kila siku. Hii inamaanisha kwamba kila shilingi 200 inayotumika kuzungumza kwenye mtandao wa Zain inakurudishia kiashi hicho hicho ili uweze kuendelea kuzungumza kwenye mtandao wa Zain inamrudishia mteja akitumia shilingi 200 kwenye simu ya kutoka mtandao wa Zain kwenda Zain atarudishiwa kiasi hicho cha pesa ili akitumie kwenye mtandao mwingine
Ofa ya Nipe Nikupe itaendelea kutoa fursa kwa wateja wa Zain wanaohitaji kuwasiliana na ndugu na familia au kufanikisha mahitaji yao ya biashara nchini kote kunufaika na mtandao mpana wa Zain ulioenea maeneo mengi zaidi nchi kuliko mtandao mwingine wowote pamoja na bidhaa za ubunifu wa hali ya juu. Wateja wa Zain wataweza kutumia bonasi walizopata kupiga simu kwenda Zain au mtandao mwingine wowote siku hiyo hiyo kabla muda wa bonsai haujaisha saa sita usiku.
Kujisajili katika Nipe Nikupe mteja wa Zain anapaswa kutuma SMS ya neno NIPE mara moja tu kwenda 15444 na ujumbe huo utagharimu Tshs 500 tu ambayo itatozwa mara moja tu.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages