Breaking News

Your Ad Spot

Jan 28, 2010

CHAMELEON ANATAFUTWA NA POLISI?

MWANAMUZIKI maarufu nchini Uganda, Joseph Chameleon inasemekana kuwa anatafutwa na polisi nchini humo kwa tuhuma za kumshambulia nusu ya kumuua mwandishi wa habari aitwaye Desire Ndyomugabe jijini Kampala hivi karibuni, Inadaiwa alichukua hatua za kumshambulia mwandishi huyo baada ya  kusoma
kusoma habari ya udaku ambayo ilimkera.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages