Breaking News

Your Ad Spot

Jan 31, 2010

NMB YATOA MSAADA SHULE YA MSINGI NYANZA, GEITA

MAOFISA wa NMB wakitembezwa shule ya Msingi ya Nyanza kabla ya kutoa misaada ya ujenzi wa madarasa.Wanafunzi wa shule hiyo wakiwa kwenye hafla hiyo.




Mkuu wa kitengo cha Uhusiano Benki ya NMB Shy-Rose Bhanji, akikabidhi sehemu ya msaada wa saruji na mabati kwa Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Nyanza Bibi Happiness Kimambo, ikiwa ni msaada wa NMB kusaidia sehem ya ujenzi wa madarasa matatu katika shule hiyo
Mkuu wa kitengo cha Uhusiano benki ya NMB Shy-Rose Bhanji, akikabidhi sehemu ya msaada wa saruji na mabati kwa Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Nyanza Bibi Happiness Kimambo, ikiwa ni msaada wa NMB kusaidia sehem ya ujenzi wa madarasa matatu katika shule hiyo.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages