WATU wasiojulikana wanatafutwa na polisi kwa tuhuma za kutega bomu linalosemekana ni lakienyeji lakini lenye madhara kwenye kituo cha polisi Musoma mjini.
kwa mujibu wa taarifa ya habari ya TBC 1 polisi imewaomba wananchi kutoa taarifa zitakazowezesha waliohusikakutiwambaroni.
Your Ad Spot
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269