Breaking News

Your Ad Spot

Feb 15, 2010

AKUDO WAPAGAWISHA USIKU WA VALENTINE

WANAMUZIKI wa Akudo Impact wakishambulia jukwaa wakati wa onyesho la bendi hiyo usiku wa Valentine kuamkia leo
WAZIRI wa Kazi, Ajira na Maendeleo ya Vijana, Alhaj, Profesa Juma Athumani Kapuya akisakata muziki wa Akudo, huku akiwa katika shati jekundu, kwenye onyesho la bendi hiyo la usiku wa Valentine kuamkia leo katika ukumbi wa Msasani Beach Club jijini Dar es Salaam.
Mashabiki wakijimwayamwaya katika onyesho hilo.
Shabiki akimfurahia Rapa wa Akudo, Toto Ze Bingwa

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages