Breaking News

Your Ad Spot

Feb 16, 2010

UTEKELEZWAJI WA SHERIA YA SHARIYA ...USIOMBEEEEEEE !!!!!!!!!!!!!

MTU akifukiwa katika shimola saizi ya kiunoni tayari kupigwa mawe hadi kufa.WAFUKIAJI wakijiridhisha kwamba haweza kuchomoka shimoni, huku watakaoshambulia kwa mawe wakisubiri sijui kwa hamu au kwa nini utasema wewe.
UPIGAJI mawe ukifanywa na watu ambao wamefunga vitambaa usoni
MIJAMAA ikimtoa kutoka kwenye shimo mtu baada ya kumwadhibu kwa kumpiga mawe hadi kufa etu alipatikana na hatia ya uzinzi !!!!!!!!!!!!



No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages