Breaking News

Your Ad Spot

Feb 16, 2010

BAADA ya kusota mahabusu tangu Ijumaa iliyopita, Mrembo anayeshikilia taji la Vodacom Miss Tanzania, Miriam Gerald (22) na kijana anayedaiwa kuwa mpenzi wake Kennedy Victor (25) wamepata dhamana leo

MISS Tanzania 2009, Miriam Gerald (22) akishuka kwenye gari la magareza akiwa amejifunika ushungi, alipofikishwa kwenye mahakama ya Kinondoni Dar es Salaam. kiwa ajili ya kupatiwa dhamana baada ya kukaa mahabusu katika gereza la Ukonga, alipofikishwa katika mahakama hiyo,Ijumaa iliyopita, akikabiliwa na mashitaka ya kujeruhi na kuharibu mali pamoja na kijana mmoja, Keneddy Victor (25). (Na Mpigapicha Wetu).
Keneddy naye akificha sura wakati akiingia mahakamani
Mrembo Miriam akificha sura katika chumba cxha mahakama
VIONGOZI waandamizi wa Kamati ya Miss Tanzania wakiwa nje ya mahakama ya Kionondo kabla ya mrembo huyokupatiwa dhamana, Kushoto ni Hashim Lundenga aliyechukua dhamana

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages