Breaking News

Your Ad Spot

Feb 8, 2010

DALADALA YAGONGA TRENI DAR; MMOJA AFARIKI, 26 WAJERUHIWA

DALADALA  lililogonga kichwa cha treni ya TAZARA leo, Tandika Yombo jijini Dar na kusababisha kifo cha mtu mmoja anahofiwa kuwa ndiye dereva na kuacha majeruhi 26, ambao 21 kati yao wamelazwa hospitali ya Temeke na watano wamekimbizwa Muhimbili kwani majereha yao ni mkakubwa zaidiMMOJA wa majeruhi akiuguzwa na nduguye hospitali ya Temeke leo

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages