Rais Jakaya Kikwete akitoa heshima mbele ya jeneza la aliyekuwa Mnikulu, Rajabu Kianda aliyefariki dunia jana jijini Dar es Salaam. Marehemu Kianda anatarajiwa kuzikwa kesho ( 9/2/2010), nyumbani kwao Kihurio Same Mkoa wa Kilimanjaro
Mama Salma Kikwete akimfariji Khadija Kianda, mjane wa marehemu Rajabu Kianda aliyekuwa Mnikulu aliyefariki dunia jana mjini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269