Breaking News

Your Ad Spot

Feb 8, 2010

OFISI ZA SHIRIKA LA NDEGE LA AFRIKA KUSINI ZATEKETEA KWA MOTO DAR LEO ASUBUHI

 
Baadhi ya wafanyakazi na walinzi wakiwa nje ya Ofisi za Shirika la Ndege la Afrika Kusini (South African Airways) katika jengo la Sophia House & Apartment, jijini Dar es Salaam, wakati moto ulipoteketeza ofisi hizo leo asubuhi. Walioshuhudia walisema moto huo ulianza mida ya saa 1.20 asubuhi lakini chanzo na thamani ya mali zilizokuwemo katika ofisi hizo bado havijajulikana.

ASKARI wa Kikosi cha Zimamoto na Uokoaji  wakiwa kataika harakati za kukabiliana na athari zamoto huo.

Baadhi ya maeneo yaliyoathirika kwamoto huo katika ofisi hizo.

Athari zaidiu.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages