Breaking News

Your Ad Spot

Feb 7, 2010

ONYESHO LA LADY IN RED DAR

MWANAMITINDO Asia Idarous-Khamsin akitambulishwa na MC Joketi Mwegelo wakati wa onesho la mavazi la Lady in Red lililoandaliwa na Fabak Fashions usiku wa kuamkia leo na kuhudhuriwa na mamia ya wadau wa fani hiyo. Jumla ya wabunifu 16 wa mitindo walionyesha uwezo wao.




Mamodo wakicheza muziki jukwaani

ASIA Idarous-Khamsin na Mwenyekiti wa Fabak Fashions Khamsin Alkaag wakiwa na mamodo stejini

MBUNIFU  mkongwe Manju Msitta na Khadija Mwanamboka wakipokea vyeti vya ushiriki
ALI Remtullah akimuandaa modo Victoria Martin


WATU wakiwa katika ukumbi kushuhudia onyesho hilo katika hoteli ya Moven Pick Dar es salaam.
MAMODOZ  wakiwa katika Lady in Red ya Fabak Fashions
MAMODO wa kiume akiwa ndani ya amevaa fulana  ya globu ya jamii ya Michuzi wakati wa uzinduzi wa clothing line ya blog hiyo usiku wa kuamkia leo wakati wa onesho hilo la Lady in Red.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages