Breaking News

Your Ad Spot

Feb 9, 2010

MAANDALIZI ONYESHO LA MASTAA WA BONGO FLAVA LA VITA DHIDI YA MALARIA LAIVA

BAADHI ya wanamuziki wakizazi kipya ambao ni mabalozi wa Kampeni ya kutokomeza malaria, wakizungumza na waandishi wa habari,kwenye ukumbi wa Idara ya Habari (Maelezo), Dar es Salaam, jana kuhusu tamasha la wanamuziki hao litakalofanyika Jumamosi wiki hii, kwenye Viwanja vya Leaders' Club, Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu ya kampeni ya vita hivyo.Kutoka kushoto ni Joseph Haule 'Profesa Jay', Mwasiti Almasi na Laurence Malima (Maelow).

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages